Habari za Punde

*SHAMBLA SHAMBLA ZA USHINDI WA UWT SINGIDA

Ushindi mtamu bwana weee acha tu!
Wanachama wa na baadhi ya wananchi wakimpongeza Diana Chilolo baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa katika uchaguzi wa Viongozi wa Umoja wa Wanawake Mkoa wa Singida (UWT) uliofanyika jana usiku.
Machozi ya Furaha kwa ushindi wa pili...

Mshindi wa pili katika uchaguzi huo Martha Mlata akiangua kilio cha furaha baada ya kutangazwa mshindi wa pili....


wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakiwa nje ya viwanja vya mwenge sekondari kabla ya
uchaguzi wakifurahia na kushangilia...







No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.