Habari za Punde

*ICF, JESHI LA POLISI WASAINI MKATABA WA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema, akisainiana mkataba na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kusaidia Uwekezaji Afrika ICF, Omar Issa, kwa ajili ya kuboresha Miundombinu na kurahisisha usafirishaji, ambapo uboresha ji wa Miundombinu na kurahishisha usafirishaji wa mizigo kutoka na kuingia ndani ya nchi. Taasisi hiyo itaanza na Barabara ya Rwanda.
Omar Issa na IGP Mwema, wakibadilishana mkataba huo, baada ya kutiliana saini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.