Rais Jakaya Kikwete (katikati) akionyesha akionyesha baadhi ya vitabu, baada ya kuzindua rasmi Kitabu cha Historia ya maisha yake kiitwacho, Wasifu wa Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa hafla hiyo fupi ya uzinduzi iliyofanyika jana Ikulu Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kushoto kwa rais ni Mtunzi wa Kitabu hicho, Julius Ngangoro na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Profesa Nyang'oro, akisaini vitabu kabla ya kuanza kuwagawia wageni waalikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Profesa Nyang'oro, akisaini vitabu kabla ya kuanza kuwagawia wageni waalikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Baadhi ya wageni waalikwa wakisoma kitabu hicho baada ya kugaiwa kilipozinduliwa.
No comments:
Post a Comment