Habari za Punde

*SHEREHE ZA MIAKA 49 YA UHURU DAR

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiingia Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo, katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Tanzania, Davis Mwamunyange.
Rais Dr. Jakaya Kikwete, akikagua gwaride.
Rais Dk Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wake, Dk Mohamed Gharib Bilal. wakati alipokuwa akiingia uwanjani hapo.
Rais Dk Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif na baadhi ya viongozi wa Serikali, alipoingia uwanjani hapo. Picha Zote na Fersddy Maro




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.