Habari za Punde

*MDAU PAPARAZI AKIWA BIZE MTAANI KUSAKA NEEEWZ

Mdau wa Blog hii ambaye ni mpigapicha wa magazeti ya Kulikoni na This Day, Badi John, akiwa bize katika mitaa ya Posta Mpya Dar es Salaam, leo mchana kusaka mafotoo na stori, hapa wala hamjui mtu ila ni kazi tuuuu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.