Habari za Punde

*UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAGARI YAENDAYO KASI

Eneo hili ni Magomeni Moroco, eneo lililokuwa na Frem kibao za maduka na kituo cha Tax, imeelezwa kuwa eti na eneo hili linatarajia kuwa ni Kituo cha Mabasi yaendayo kasi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo, na tayari wakazi wa maeneo hili wamekwishawezeshwa tayarti kuondoka na kupisha upanuzi na ujenzi mradi huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.