Habari za Punde

*HOTELI YA KEMPINSK YADHAMILIA KUINUA WASANII WACHANGA WA MAVAZI

Washiriki wa Onyesho la Mavazi, wakipita jukwaani wakati wa onyesho hilo la ‘Kempinsk Showcase’ lililoandaliwa maalum kwa ajili ya kuinua vipaji vya wabunifu wa mavazi Chipukizi yaliyofanyika kwenye Hoteli ya Kempinsk jijini Dar es Salaam jana. Wabunifu walioshiriki onyesho hilo ni Caroline, aliyetumia mavazi ya Vitenge na Vitambaa vyeusi, pamoja na Dyana magese, aliyetokea Mkoani Morogoro, aliyeonyesha zaidi mavazi ya asili pamoja na nguo za Kichina.
Baadhi ya Wanamitindo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya onyesho hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.