Habari za Punde

*MCHINA ABAGENI KUNUNUA KAMBA KOCHI, FERI

Raia wa kigeni mwenye asili ya China, akielewana bei na mfanyabiashara wa samaki, ili kupunguziwa bei ya Samaki aina ya Kamba Kochi. Samaki huyo ndiye samaki mwenye bei kubwa kuliko wote wanaopatikana katika Bahari ya Hindi, ambapo mmoja kama huyu huuzwa kwa Sh. 85,000 ama hupimwa kwa kilo moja kwa Sh. 35, 000.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.