Habari za Punde

*SEMINA YA MAOFISA MIPANGO MIJI WA NYANDA ZA JUU MASHARIKI

Mkuu wa kituo cha michezo kanda ya kusini,  Vicent akisisitiza jambo wakati wa semina kwa maafisa mipango miji kutoka mikoa ya nyanda za juu mashariki,juu ya kutoa mchango wao katika sekta ya michezo kwa kutenga maeneo ya wazi.Semina hiyo ya siku tatu iliyofanyika mjini Songea imemalizika juzi.
Ofisa tawala wa Wilaya ya Songea, Richard Mbambe,akifunga semina ya siku tatu kwa maofisa mipango miji  iliyofanyika mjini Songea juzi, ambapo aliwakumbusha maofisa hao kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya michezo katika Halmashauri zao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.