Habari za Punde

*MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA MADEREVA TUNDUMA(BODA) KUZUNGUMZIA KUONGEZEKA KWA SIKU ZA KUSIMAMIA MAGARI MIZANI KUTOKA SIKU TANO HADI SABA

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,  Mwakipesile akizungumza kwa jazba wakati alipokuwa katika mazungumzo na kuwahutubia madereva baada ya kukutana na maswali mengine yanayoonyesha kutokubaliana na yale wanayoshauriwa.
Baadhi ya Viongozi wa madereva wa Magari ya biashara wakikataa  hivi pale hoja yao ilipokumbana na upinzani wa wale wanaowaongoza.

Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi, Ernest Dudu, akizungumzia utaratibu wa askari wa usalama Barabarani (Trafiki) kukagua magari hayo tu pale yanapokuwa mizani. Picha na Blog ya Mbeya Yetu


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.