Habari za Punde

*VODACOM MISS KANDA YA MASHARIKI WAFUNIKA NA SHOO YA KUMSAKA BALOZI WA USAMBARA HOTELI MOROGORO

 Mmoja kati ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge, lililofanyika mjini Morogoro jana.
 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini, Said Mwambungu (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika shindano hilo la kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge, akiteta jambo na Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania, Hashimu Lundenga,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, akiwapongeza warembo waliofanikiwa kuingia katika hatua ya tano bora ya Vodacom miss kanda ya Mashariki. 

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini, Said Mwambungu, (wapili toka kushoto) Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (kushoto) Mama January  Makamba wa tatu toka (kushoto ) na Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala wakifatilia onyesho hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.