Habari za Punde

*ANNMARIE MOSHI NA LOUISE MHADA WAMEREMETA LEO NA KIPAIMAARA KANISA LA MBEZI BEACH

 Annmarie Moshi (kushoto) akibarikiwa Kipaimara wakati wa Misa hiyo inayoendelea katika Kanisa la Mbezi Beach,ambapo jumla ya watoto zaidi ya 100 wamepata Kipairama katika Kanisa hilo. 
 Annmarie Moshi (kushoto) na Louise Mhada (kulia) wakipozi kwa picha kabla ya kuingia katika Ibada ya Kipaimara leo katika Kanisa hilo.
 Annmarie na Louise wakipozi kwa picha.
 Watoto waliopata kipaimara katika Kanisa hilo wakiingia kanisani kushiriki Ibada hiyo.
Pozi la picha la Annmarie na Louise.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.