Habari za Punde

*JANET SOSTENES AZINDUA RASMI KIPINDI CHAKE KIPYA CHA 'ONGEA NA JANET'

 Mtangazaji wa Kipindi kipya cha Ongea na Janet, Janet Sostenes Mwenda, akielezea madhumuni na maudhui ya kipindi hicho na changamoto anazo kabiliana nazo wakati wa utayarishaji wa kipindi hicho ambapo pia amewataka watu binafsi, kampuni na wapenda maendeleo kujitokeza kutoa udhamini ili kufanikisha lengo lililokusudiwa.
 Sehemu maalum iliyoandaliwa na kupambwa na Red Carpet kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa kipindi kipya cha Ongea na Janet uliofanyika Chichi Hoteli Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa na Clouds TV kila siku ya Jumatatu Saa tatu kamili usiku.
Sehemu ya wageni waalikwa walioalikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.