Habari za Punde

*EXTRA BONGO WATOA RATIBA YAO YA WIKI HII

  Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho lao walilofanyika kwenye Ukumbi wa Wood Land Manzese jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Shabiki wa Bendi ya Extra Bongo akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Ukumbi wa Wood Land Manzese Dar es Salaam hivi karibuni.

Ratiba ya Bendi ya Extra Bongo wiki hii.
Alhamis ya leo Bendi hiyo itafanya makamuzi katika ukumbi wa --Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ally.

Kesho Ijumaa Extra Bongo watakamua katika ukumbi wa --Mbezi Kunduchi Beach, na siku ya keshokutwa Jumamosi, Wana wa Kizigo hao watavamia katika ukumbi wa Meeda Sinza Mori na Siku ya Jumapili watamalizia Ratiba yao katika Ukumbi wa Wood Land Manzese Tiptop

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.