Habari za Punde

*GARI LA MSOSI LAPAMIA MTI 'UBABE WA KIJINGA WA DEREVA'

Gari hili linaloegeshwa mitaa ya karibu na Benki Kuu jijini Dar es Salaam, na kutoa huduma ya kuuza vyakula kwa wateja wake waliozoea kupata Menu Bomba kutoka katika gari hilo, likiwa limebanjuka upande baada ya kugonga mti wakati likikwepa msafara wa kiongozi mitaa ya Karimjee leo. Ubabe wa madereva wengi wanajifanya kujua kila ama zarau ndiyo mara nyingi husababisha ajali kama hizi, kwani dereva huyu alikutana na Pikipiki iliyokuwa ikipiga king'ola na gari la Polisi likisafisha njia, lakini dereva huyu bado aliendele na safari yake tu huku akitaka apishane na msafara huo je ni kutoelewa  kwa baadhi ya madereve au ni ubabe wa kijinga?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.