Habari za Punde

*CHEKA AJIFUA ATAMBA KUMCHAKAZA MAUGO NA KUONDOKA NA GARI

  Kocha wa mchezo wa Masumbwi, Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia, Francis Cheka, katika kambi yake jijini  Dar es salaam.  Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi ya wiki hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari. Cheka ametamba kuibuka na ushindi katika pambano hilo na kuondoka na gari analodai ameandaliwa yeye. Picha na Super D

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.