Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA MJINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo, wakati alipokutana nao  Ikulu Mjini Zanzibar jana. Kushoto ni  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. Picha  na Ramadhan Othman, IKULU.
Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya Afya, wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao katika mpango wake wa kuzungumza na kila Wizara katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.