Habari za Punde

*BENDI YA MASHUJAA MUSICA WAFANYA MAKAMUZI NDANI YA BUSINESS CENTRE WAKIONGOZWA YA CHAZ BABA


Kiongozi na mwimbaji wa Bendi  ya Mashujaa, Chaz Baba, akiimba jukwaani  jana usiku na kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa nyimbo zake mpya ndani ya ukumbi wa Business Centre Maeneo ya makumbusho, wakati bendi hiyo ilipofanya onyesho lake katika ukumbi huo.
Mpiga tumba maarufu, aliyejiunga na Bendi ya Mashujaa, akitokea Twanga Pepeta, MCD,  akizicharaza tumba wakati wa onyesho hilo lililofanyika jana katika ukumbi huo. 
Rapa wa bendi hiyo akighani moja ya rap za bendi hiyo.
Wanenguaji wa bendi hiyo ya Mashujaa, wakishambulia jukwaa wakati wakicheza shoo ya pamoja katika onyesho hilo jana.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.