Habari za Punde

*VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI WALIPOUNGURUMA JANGWANI JANA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, akizungumza na wananchi wakati akiwahutubia katika mkutano mkubwa wa Chama cha Mapinduzi CCM, uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam, jana ambapo mbambo muhimu yanayolikabili Taifa yalizungumziwa ikiwa ni pamoja na mikakati iliyowekwa na chama hicho ya kuyatatua.
 Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akihutubia hukua kielezea maamuzi aliyoyatoa baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa wizara hiyo ili kulinusuru Taifa na ufisadi.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Profesa  Anna Tibaijuka, akitema cheche wakati akiwahutubia wananchi hao katika viwanja vya Jangwani, jana.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na mahusiano, Stephen Wasira, akizungumza kwenye mkutano huo. 
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza katika viwanja vya Jangwani kuhudhuria na kusikiliza yaliyoaandaliwa kwa ajili yao na CCM, ikiwa ni pamoja na mambo yote ya msingi ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho, na mipango ya kimaendeleo na mafanikio yalioishafikiwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.