Habari za Punde

*WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA KIKOSI CHA TWIGA STARS KAMBINI

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla, akisalimiana na mmoja wa Kamanda wa kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa cha Ruvu JKT wakati alipotembelea kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kilichojichimbia Kambini kwa ajili ya kujiandaa namchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia. Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangalla, akisisitiza jambo wakati akizungumza na wachezaji wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' (hawapo Pichani) alipowatembelea katika Kambi yao iliyopo Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu  JKT kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia. Kulia ni Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya,  (kushoto) ni Luteni Rhoda Matonya
Baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars wakimsikiliza Waziri wakati akizungumza nao katika kambi hiyo leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.