Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Ndg. Justine Mwandu
akifungua mkutano wa Sita wa Mameneja wa shirika hilo katika hoteli ya Sea Scape
iliyopo maeneo ya Mbezi, Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Bima za Maisha, Bi. Rose Lawa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala,
Bi. Anne Mbughuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Bima za Mali na Ajali, Ndg Ndugu
Kura Kalema.
Wakurugenzi pamoja na Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya mkutano.
Mkurugenzi Mtendaji Bw. Mwandu (kushoto) akiwakaribisha wajumbe katika mkutano huo.
Anayesalimiana nae ni meneja wa bima tawi la Songea Ndugu Moses Senje akifuatiwa
na meneja mwenzake tawi la Tanga Ndugu Romanus Hokororo na mwisho meneja wa
Iringa Ndg Ally Mohammed.
Mkurugenzi wa Masoko, Henry Machoke,(kulia) akibadilishana mawazo
na Meneja Masoko wa NIC, Elisante Maleko, na Meneja wa tawi la Ubungo, Segeja
Mabula wakatiwa mkutano huo. Picha zote na John Badi
No comments:
Post a Comment