Kiungo wa timu ya Kijitonyama Veterans, Nobby (kushoto) akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Florida ya Kimara, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kweny Uwanja wa Bora Kijitonyama, mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka suluhu kwa kufungana mabao 5-5.
Baba Na (kushoto) akijiandaa kumdhibiti mshambuliaji wa Florida.
Baadhi ya wachezaji wa akiba waliofika katika mtanange huo jumapili.
Akifinywa mtu.........




No comments:
Post a Comment