Mabondia Francis Miyeyusho 'Chichi Mawe' (kushoto) na Fadhili Majiha 'Stoper', wanatarajia kupanda ulingoni Feb 28, mwaka huu katika ukumbi wa Ndani wa Uwanja wa Taifa kwa pambano lao la raundi 10, lililoandaliwa maalum kwa ajili ya kumaliza ubishi nani mkali kati ya mabondia hao.
mapambano mengine ya utangulizi yatakuwa ni kati ya Ramadhan Shauri (Dar) v/s Said Mundi, (Tanga), Kazaula Pius (Morogoro) v/s Mwinyi Mzengela (Dar), Shadrack Ignas v/s Hussein Mbonde, Sadick Abdulazizi v/s Godfrey Silive, Mohamde Amir v/s Fadhil Chamile.
Viingilio katika pambano hilo itakuwa ni V.I.P Sh. 20,000/=
Kawaida Sh. 10, 000/=

No comments:
Post a Comment