Habari za Punde

*CHADEMA WALIPOUNGURUMA JIJINI ARUSHA JANA

 Profesor Jay akihamsisha wananchi kujitokeza kwenda kujiandikisha "NDUGU ZANGU WANA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA ILI TUJIHAKIKISHIE UHURU WA 
KWELI NA SIO MATUMAINI"
 Mbuge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari amewataka watanzania kutambua muda wa mateso waliyoyapata kwa Miaka Mingi sasa yamefikia ukomo,"Njia pekee iliyobaki ndugu zangu ni kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura" Pia ametambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake
Mbuge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari akitambulisha  AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake
 umati wa wananchi waliouthuria katika mkutano huo wa chadema jana jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.