Habari za Punde

*BASI LA TAHMEED LAWAKA MOTO LEO

Basi la Tahmeed linalofanya safari zake Dar Tanga, likiungua moto leo mchana wakati likitokea Jijini Dar kwenda Jijini Tanga. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo wala vifo NA majeruhi katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.