Habari za Punde

*NDALICHAKO ABAINI MADUDU NA UPOTEVU WA PESA MFUMO WA KUDAHILI WANAFUNZI NA UTOAJI MIKOPO

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, akizungumza na waandishi wa habari leo mchana jijini Dar es Salaam. Ndalichako alisema kuwa amebaini upotevu wa pesa nyingi katika utaratibu wa utoaji mikopo na mfumo mzima wa kudahili wanafunzi kujiunga na elimu ya juu kupitia TCU.
Ndalichako aliyasema hayo leo mara baada ya kupitia ripoti ya CAG na Rufaa ya majibu ya watendaji wa bodi hiyo ambao walihojiwa na vyombo vya Serikali kwa nyakati tofauti juu ya mfumo mzima wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Mkutano ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.