Habari za Punde

*KATIBU MKUU CCM, KINANA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA, JK ATINGA CCM MAKAO MAKUU LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Korea Song Geum-Yung, Ofsni kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba ijini Dar es Salaam, leo Juni 15, 2016. 
Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya shughuli zake za kiofisi, leo Juni 15, 2016. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.