Mdau wa masumbwi nchini Jumanne Mbwembwe (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Imani Mapambano (kushoto) na Seleman Galile wakati wa utambulisho ua pambano lao linalotarajia kufanyika julai 24 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Musoma Bar Tandika, jijini Dar es Salaam.
Mabondia Iani Mapambano (kushoto) na Selemani Galile wakipozi kwa picha baada ya utambulisho huo.
No comments:
Post a Comment