Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kushoto), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto
nyumba, mashamba na kuharibu mazao yaliyotokea
mkoa wa Kusini Pemba na kuahidi kuyashughulikia. Kulia ni Kamishna wa
Polisi Zanzibar, Hamdani Omary Makame.
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdani Omary Makame, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment