Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohamed Mpinga akimkabidhi mpira mwakilishi wa waendesha pikipiki toka mkoa wa Kipolisi Ilala wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohamed Mpinga akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni akisisitiza jambo kwa madereva wa pikipiki (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamnda Mohamed Mpinga.
Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu , Mafunzo na Uenezi toka Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Bw. Henry Bantu akitoa neon la shukrani kwa Mgeni Rasmi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza hilo pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni (wa mwisho kulia) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamnda Mohamed Mpinga.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni (kulia) akimkabidhi mpira Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohamed Mpinga wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni (kulia) akimkabidhi kombe Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohamed Mpinga wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi toka Kampuni ya GSM akimkabidhi funguo za pikipiki Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Injinia Hamadi Yusufu Masauni (kulia) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki wa Mkoa wa Kipolisi Ilala yanayojulikana kama Mpinga Cup mapema hii leo jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia toka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu , Mafunzo na Uenezi toka Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Bw. Henry Bantu na ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamnda Mohamed Mpinga.
No comments:
Post a Comment