Kijana mfanyabishara wa mihogo ya kuchoma, akipita katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, kutafuta wateja, kama alivyonaswa kamera ya Mafoto Blog, katika Mtaa wa Living Stone, hivi karibuni.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
5 days ago

No comments:
Post a Comment