RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipita mbele ya Kikundi cha sanaa cha JWTZ, wakati akipita kukagua mabanda ya maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Juliu Nyerere Dar es salaam, alipofika kufunga maonesho hayo, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika zinashiriki kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa 'Business Congolese International', Mukendi Kabobu, wakati alipotembelea katika mabanda ya maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Juliu Nyerere Dar es salaam, alipofika kufunga maonesho hayo, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika zinashiriki kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Masoko wa Kampuni ya Maji ya 'Hill Water' Jackline James, wakati alipotembelea katika mabanda ya maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Juliu Nyerere Dar es salaam, alipofika kufunga maonesho hayo, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika zinashiriki kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Shirika la Reli Tanzania TRC, Jamila Mbarouk, wakati alipotembelea katika mabanda ya maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Juliu Nyerere dar es salaam, alipofika kufunga maonesho hayo, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika zinashiriki kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa MSD,
Laurean Banakunu, wakati alipotembelea katika mabanda ya maonesho ya Nne
ya Wiki ya Viwanda SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Juliu Nyerere dar es salaam, alipofika kufunga maonesho
hayo, jana ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za
kusini mwa Afrika zinashiriki kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya
hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
Dkt. Shein akicheza Bao baada ya kutembelea na kukagua mabanda.
No comments:
Post a Comment