WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania, ATCL, Ladislaus Matindi, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18. (Picha na Muhidin Sufiani).
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Dk. Laurean Bwanakunu, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia kiatu huku akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viatu ya Waasili Asilia, Dedani Munisi (RASMIZIZI kulia) alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Kaimu mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Shirika la Reli Tanzania TRC, Jamila Mbarouk, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Msajili Msaidizi Mkuu wa BRELA, George Chuwa, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mahusiano kwa Makampuni na Taasisi wa Benki ya CRDB, Focus Mrosso, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya EPZ, Col Joseph Simbakalia (wa pili kulia) alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18. Kulia ni Ofisa Uhamasishaji, Uwekezaji Kituo cha Uwekezaji, Diana Ladislaus.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania, ATCL, Ladislaus Matindi, alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Francisca Muindi wakati alipotembelea Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.
No comments:
Post a Comment