Habari za Punde

YANGA BARDIIIIIII UWANJA WA NYUMBANI KWA TOWNSHIP ROLLERS

  Mshambuliaji wa Yanga Sadney Urikhob (kulia) akimtoka beki wa Township Rollers ya Botswana, Kamogelo Matsabu, wakati wa mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
 Beki wa Yanga, Muharami Maundu (kulia) akimiliki mpira na kupiga krosi mbele ya beki wa Township Rollers, Ofentse Nato, wakati wa mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Beki wa Yanga, Lamine Moro (chini) akitako kumdhibiti mshambuliaji wa Township Rollers, Motsholetshi Sikele.
Mshambuliaji wa Yanga Patrick Sibomana (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Township Rollers ya Botswana, wakati wa mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga Balinya, akijaribu kuwahadaa mabeki wa Township Rollers
 Sadney akichanja mbuga...
 Sadney Urikhob (wa pili kulia) akijiandaa kupiga krosi huku akizongwa na mabeki wa Township Rollers ya Botswana.
 Sadney akimfinya beki wa Township Rollers.
 Kikosi cha Yanga 2019/2020
 Kikosi cha Township Rollers

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.