Mjumbe wa Taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council), Rasi mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza katika kikao cha Mawaziri wa sekta ya Afya na UKIMWI (HIV/AIDS) kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council), Rasi mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu yaliyojadiliwa na kikao cha Mawaziri wa sekta ya Afya na UKIMWI (HIV/AIDS) kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam. (Picha na Muhidin Sufiani).
No comments:
Post a Comment