Habari za Punde

BENKI YA NMB YAZINDUA HUDUMA YA GO NA NMB KWA VIJANA

Naibu  Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira Patrobas Katambi (wa pili kulia) Mkuu wa (W) Temeke, Godwin Gondwe (wa tatu kulia) na Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo na wa kati, Filbert Mponzi (wa tatu kushoto) kwa pamoja wakizindua rasmi Huduma mpya ya Go na NMB kwa Vijana wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. (Picha na Muhidin Sufiani)
Afisa Mkuu wa Wateja wadogo na wa kati, Filbert Mponzi, akizungumza wakati akisoma Hotuba yake kufafanua kuhusu huduma mpya ya Go na NMB, wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika katika Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzindua huduma mpya ya Go na NMB, wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika katika Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya, wakishow love na baadhi ya wadau wa Siasa kutoka chama cha Mapinduzi waliohudhuria hafla hiyo.
Stori zikiendelea kabla ya uzinduzi huo.
Zawadi zikitolewa kwa washindi wa kudansi.
Wasanii wa muziki wa 'Kushake' kutoka Kundi la Wakali wao la Temeke wakitoa burudani Jukwaani wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma mpya ya Go na NMB kwa Vijana wakati wa hafla hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. 
Mgeni rasmi, Naibu Waziri, Patrobas Katambi (kulia) akiwaongoza baadhi ya viongozi kusakata Rhumba viwanjani hapo.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira Patrobas Katambi (katikati) akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB alipowasili katika Viwanja vya TCC Chang'ombe kwa ajili ya uzinduzi wa Huduma mpya ya Go na NMB kwa Vijana.
Wakipongezana baada ya kuzindua huduma hiyo.
Naibu  Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira Patrobas Katambi, akizungumza  wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma mpya ya Go na NMB,  uliofanyika katika Viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Wakuu wakisalimiana
'Maua ya NMB' wafanyakazi wa NMB wakishow love.
Wakifuatilia show............
Baadhi ya Wanafunzi wa Vyuo vikuu waliohudhuria hafla hiyo....
Ni kama anamuelekeza jambo hiviiiii................
Hapo vipi......................
Poziiiiiiiiiiiiiii

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.