Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akitoa taarifa kuhusu hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari akiwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akielza jambo kuhusu kupanda kwa bei za bidhaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment