Habari za Punde

RAIS SAMIA AFUTURU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya viongozi Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir (kushoto) na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana, wakati wa hafla ya futari aliyoiandaa na kufuturu pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Wazee na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.