Habari za Punde

KESI YA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA WAHOJIWA MAHAKAMA KUU

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama cha CHADEMA Grace Tendega (katikati) akifarijiwa na baadhi ya wanandugu baada ya kutoka katika Chumba cha Mahakama Kuu baada ya kuhojiwa kufuatia Kesi inayomkabili yeye na wenzake juu ya kupinga kuvuliwa Uanachama. 
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama cha CHADEMA Grace Tendega (kulia) akiteta jambo na Wakili wake wakati akiwa ndani ya Chumba cha Mahakama alipoitwa kwa ajili ya Kuhojiwa kufuatia Kesi inayomkabili yeye na wenzake juu ya kupinga kuvuliwa Uanachama. 
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama cha CHADEMA Hawa Mwaifungaakiwa ndani ya Chumba cha Mahakama Kuu alipoitwa kwa ajili ya Kuhojiwa kufuatia Kesi inayomkabili yeye na wenzake juu ya kupinga kuvuliwa Uanachama. 
WABUNGE  wa Viti Maalumu kupitia Chama cha CHADEMA Hawa Mwaifunga (kulia) na Grace Tendega (katikati) wakitoka katika Chumba cha Mahakama Kuu baada ya kuhojiwa kufuatia Kesi inayowakabili juu ya kupinga kuvuliwa Uanachama. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.