NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa, wakati alipotembelea katika Banda la maonesho la Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwenye sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli zilizofanyika katika Viwanja vya Stesheni ya Reli Kamata jijini Dar es Salaam, leo. Wa pili (kushoto) ni mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi za Uchukuzi, Stella Katodo na baadhi ya Maafisa wa Wizara hiyo Idara ya Usalama na Mazingira Sekta ya Uchukuzi. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa,NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Usalama wa Reli, Chisondi Maingu (kushoto) wakati alipotembelea katika Banda la maonesho kwenye sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli zilizofanyika katika Viwanja vya Stesheni ya Reli Kamata jijini Dar es Salaam, jana. Kulia ni MKurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa (Katikati) ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano TRC, Jamillah Mbarouk na Afisa Habari Mahusiano ya Umma, Amina Warisanga.
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Reli LATRA, Mhandisi Hanya Mbawala, wakati alipotembelea katika Banda la maonesho kwenye sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli zilizofanyika katika Viwanja vya Stesheni ya Reli Kamata jijini Dar es Salaam, leo.NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Tazara , Regina Tarimo, wakati alipotembelea katika Banda la maonesho kwenye sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli zilizofanyika katika Viwanja vya Stesheni ya Reli Kamata jijini Dar es Salaam, leo. Wa pili Kulia ni mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi za Uchukuzi, Stella Katodo na Meneja Usalama Tazara, Sadiki Anthony
No comments:
Post a Comment