Habari za Punde

WANAFUNZI WA CHEKECHEA WAFUNIKA MAAFALI KIDATO CHA NNE JOYLAND SCHOOLS

AFISA Elimu Taaluma Mkoa wa Dar es Salaam, Nyange Mtoro, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu elimu ya Sekondari mwanafunzi Gladys Ndabi, wakati wa sherehe ya Maafali ya Kidato cha Nne zilizofanyika Shule ya Sekondari ya Joyland iliyopo Kobada jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shule hiyo, Calister Mungwe. (Picha na Muhidin Sufiani)
AFISA Elimu Taaluma Mkoa wa Dar es Salaam, Nyange Mtoro, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu elimu ya Darasa la saba mwanafunzi, Abdullateef Mresa, wakati wa sherehe ya Maafali ya Kidato cha Nne zilizofanyika Shule ya Sekondari ya Joyland iliyopo Kobada jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shule hiyo, Calister Mungwe.
AFISA Elimu Taaluma Mkoa wa Dar es Salaam, Nyange Mtoro, akikabidhi vyeti kwa wanafunzi wa Chekechea Grade One, wakati wa sherehe ya Maafali ya Kidato cha Nne na Grade One, zilizofanyika Shule ya Sekondari ya Joyland iliyopo Kobada Kigamboni jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shule hiyo, Calister Mungwe.
Kidato cha Nne wakiingia 
Darasa la saba wakiingia
Baba, Bakari Mresa na Mama, Mariam Mussa, wakiwa na mtoto wao, Abdullateef Mresa akipozi na cheti chake baada ya kukabidhiwa jana wakati wa sherehe zamaafali yao katika shule ya Joyladn.
Mama Maria Mgeni akimvisha Taji mtoto wake Gladys Ndabi wakati wa sherehe za maali ya kidato cha Nne jana katika Shule ya Joyland, iliyopo Kibada Kigamboni jijini Dar es Salam.

Baba wa mtoto, Gladys Ndabi (kulia) akiwa na mkewe Maria Mgeni na mtoto wao Gladys wakipozi kwa picha wakati wakisubiri kukata keki.
WANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland iliyopo Kibada, wakicheza ngoma ya asli wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one, Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam, jana.
MWANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland Schools iliyopo Kibada, Kigamboni, Leonald Mbogoma, akipiga kinanda kuwachezesha wenzake wimbo wa zilipendwa wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one,  Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam,
Kidato cha Nne katika picha
Wahitimu wa Grade One wakitoa burudani
Wanafunzi wa darasa la Nne wakitoa burudani ya kuwaaga Dada na Kaka zao wakati wa maafali hayo.
Kidato cha Nne wakiimba kutoa burudani....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.