WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Halmashari Kuu ya CCM na Wenyeviti wa CCM mikoa ya Tanzaania Bara na Visiwani, eneo la Handaki Namba 2 lenye urefu wa zaidi ya Kilometa moja, wakati walipotembelea mradi wa Reli SGR kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma.
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa, akizungumza na Waandishi wa Habari katika eneo la Handaki Namba 2 lenye urefu wa zaidi ya Kilometa moja, wakati wa ziara ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani walipotembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa, akizingumza jambo na Wenyeviti wa CCM mikoa ya Dodoma Adam Kimbisa (kushoto) na Abas Mtemvu mkoa wa Dar es Salaam, (wa pili kushoto) na Juma Simba Ghadafi, Mneki mkoa wa Dar es Salaam (katikati) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma (kulia)wakati waliposimama katika Kituo cha Treni ya SGR mjini Morogoro walipokuwa katika ziara ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani walipotembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa (katikati) akifurahia jambo na Wenyeviti wa CCM mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa (kushoto) na Abas Mtemu mkoa wa Dar es Salaam, wakati waliposimama katika Kituo cha Treni ya SGR mjini Morogoro walipokuwa katika ziara ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani walipotembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.
BAADHI ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na wenyeviti wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani, wakishuka katika Treni ya Mkandarasi Kituo cha Morogoro wakati walipokuwa katika ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na wenyeviti wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani, wakiwa katika Handaki namba mbili lenye urefu wa zaidi ya Kilometa moja walipokuwa katika ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlatta, (katikati) akizungumza jambo kuhusu ziara yao wakiwa katika Handaki namba mbili lenye urefu wa zaidi ya Kilometa moja walipokuwa katika ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa (kushoto) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na Wenyeviti wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani, wakiwa katika Handaki namba mbili lenye urefu wa zaidi ya Kilometa moja walipokuwa katika ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma kwa kutumia Treni ya Mkandarasi, (Picha na Muhidin Sufiani)
No comments:
Post a Comment