Mchungaji Mathias Msuya (nyuma) akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Kitunda Kuu baada ya kuwabatiza watoto na kuwapa Kipaimara vijana walio mbele yake wakati wa Ibada iliyofanyika Desemba 26, Dar es Salaam, (Picha na Muhidin Sufiani)
Mzazi Nsajigwa Ndabi, akimpongeza mtoto mtoto wake Mercy Ndabi, kwa kumvisha Taji baada ya kupokea kipaimara katika Kanisa la KKKT Kitunda Kuu, Dar es Salaam, juzi.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kitunda Kuu Dar es Salaam, Mathias Msuya, akiwabariki watoto wakati wa ibada ya Kipaimara na ubatizo iliyofanyika kanisani hapo juzi Desemba 26.
Mercy akimlisha keki Mama yake mzazi wakati sherehe ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Paris uliopo Mwanagati.
Mercy akimlisha keki Baba yake mzazi wakati sherehe ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Paris uliopo Mwanagati.
Marafiki zake pia nao walikuwepo kushow Love na mpendwa wao
Picha ya pamoja ya familiaWazazi wakimpongeza mtoto wao baada ya kupokea Kipaimara
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Mama yake (kulia) Aunt yake wa pili (kushoto) na Dada yake (kulia)
No comments:
Post a Comment