Habari za Punde

BENKI YA KCB, YAKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA MAKTABA LILILOGHARIMU SH. MILIONI 12.5

Si kuweka pesa zenu tu bali hata kutoa tunatoa jamani njooni mjiwekee akiba..

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya KCB, Christina Manyenye, akikabidhi Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwanambaya, Mbaraka Nyakungu, funguo ya jengo la maktaba ya shule hiyo lililojengwa na benki hiyo kwa gharama ya sh. milioni 12.5 wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya jingo hilo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye shuleni hiyo iliyo nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.