Habari za Punde

MASANJA AAGWA LEO UWANJA WA UHURU, KUZIKWA KWAO MIRAMBO

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera, akiweka shada la maua kwenye Jeneza la aliyekuwa Meneja wa Uwanja wa Uhuru, Charles Masanja, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Uwanja wa huo jijini Dar es Salaam leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.