Habari za Punde

JE HII NI SHULE HALALI ILIYOSAJILIWA KWA TARATIBU ZOTE?

E bwana eeeh hii ni kali ya mwaka mimi siwezimpeleka mwanangu shule hii je weweeee?Japo hili ni tuta kwangu lakini hata mie bado nashawishika kuwauliza wadau wa Sufianimafoto je hii ni shule iliyosajiliwa kabisaaaaa na jina hili likapitishwa kwa taratibu zote? na je kunawazazi wanaowapeleka wanafunzi wao katika shule hii huku wakijigamba kuwa "mwanangu anasoma Use.... High School"?..... Picha kwa msaada wa wajina wangu Muhidin Michuzi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.