Habari za Punde

VODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA YA 'CHEKA TIME'

Tunawajali wateja wetu na hii ni mwanzo tuuuu..................Kutoka (kushoto), Mkuu wa kitengo cha Udhamini, George Rwehumbiza, Mkuu wa Huduma mpya na Bidhaa, Boniface Emmanuel, Mkuu wa mawasiliano Mwamvita Makamba na Product Marketing, Elihuruma Ngowi, wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Cheka Time, inayopatikana katika mtandao wa Vodacom iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.