Habari za Punde

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA BAADHI YA VITUO JIJINI DAR

Namna hii tutafika kweli????????????????hili lijifriji bovu eti ndo meza?????????Wasimamizi wa Uchaguzi katika Kituo cha Sisi kwa Sisi Manzese, wakifanya kazi hiyo katika mazingira magumu, bila kuwa na hata angalau meza, hii inaonyesha ni jinsi gani zoezi hili halikutiliwa mkazo "THIS IS NOT SIRIUS", na huku wapiga kura wakiendelea na zoezi hilo kwa kujaza fomu zao chini na wengine kutumia magoti yao kama meza ama kigandamizio. Picha zote na (SMP)

Hapa ni katika kituo cha kupigia kura cha Magomeni Kagera, wakazi wa maeneo hayo wakiendelea na zoezi hilo kama kawa.

Kama mambo yenyewe ndo hivi mei uchaguzi wa Rais siumizi mgongo wangu tena.......?Na hapa ni maeneo hayo hayo ya Manzese Dar es Salaam, kama wanaigiliziana wa kumjaza katika fomu zao vile.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.