Habari za Punde

MASANJA HATUNAE, AFARIKI KWA KUANGUKIWA NA VIJITOFALI

Aai jamani yaani vitofali hivi tu ndo vimemuondoa duniani, wala siamini........Wakazi wa Kimara na majirani wa aliyekuwa Meneja wa Uwanja wa Uhuru, Charles Masanja, wakiangalia sehemu ya ukuta uliomong'onyoka vipande vya tofali (louvers) na kumwangukia hadi kusababisha umauti wake baada ya kuvunjika mguu wa kulia, wakati akijaribu kupanda ukuta huo ili kuingia ndani kwake baada ya geti lake kugoma kufunguka usiku wa kuamkia leo. Picha na (SPM)

Yaani jana tu nilikuwa naye baada ya kutoka uwanja ni katika mechi ya Simba na JKT......Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa aliyekuwa meneja wa Uwanja wa Uhuru Charles Masanja, nyumbani kwake Kimara Korogwe leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.