Habari za Punde

SIMBA HAIFUNGIKI, YAWACHEZESHA KWATA MAAFANDE WA JKT RUVU

Weweeee acha kukaza kiivyo, hata kama nyie ni maafande hapa kipondo tu.........Beki wa Simba Salum Kanoni (kushoto) akimenyana na Sosthenes Manyasi wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo. Simba imeshinda 4-1. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.